Pata Wateja Zaidi Kupitia Mitandao ya Kijamii — Bila Kupoteza Muda Wala Fedha
Tunasa wateja wako mtandaoni, wewe unaleta huduma.
Shida Tunazotatua
Wamiliki wengi wa biashara wanahangaika kupata wateja mtandaoni kwa sababu:
Post nyingi hazifiki kwa watu
Unachapisha kila siku lakini engagement ni chini sana
Matangazo yanaliwa na gharama bila matokeo
Unatumia pesa nyingi lakini hupati wateja wanaolipa
Hakuna mpango maalum wa kupata wateja
Unafanya tu bila strategy iliyowazi
Hakuna muda wa kuendesha mitandao kikamilifu
Biashara yako inahitaji muda wako wote
Wateja hawajui bidhaa/huduma zako vizuri
Message yako haieleweki au haivutii
Habari njema?
Tumeunda mfumo maalum unaobadilisha followers kuwa wateja wanaolipa.
Tunachokupa
Nasa Wateja Online inakupa huduma za kisasa za digital marketing
Usimamizi wa Mitandao
Tunasimamia Facebook, Instagram, TikTok na Twitter kwa niaba yako
Matangazo Yanayolenga Wateja
Facebook & Instagram Ads zinazofika kwa watu wanaohitaji huduma yako
Uundaji wa Website
Website za kibiashara zinazobadilisha wageni kuwa wateja
Mauzo Funnel & Landing Pages
Kurasa maalum zinazougiza wateja katika safari ya kununua
Content Creation
Graphics, Videos, na Copies zinazovutia na kuuza
Lead Generation
Kukuletea watu wanaohitaji bidhaa zako kila siku
Online Branding & Growth
Kujenga chapa yako na kukuza uwepo wako mtandaoni
Lengo letu ni moja tu:
Kukuletea wateja halisi — si likes.
Matokeo Halisi
Tumesaidia biashara zaidi ya 150+ Tanzania kupata matokeo kama:
Wateja Wanasemaje?
"Nasa Wateja Online walibadilisha kabisa biashara yangu. Sasa napata wateja kila siku kupitia Instagram!"
"Matangazo yao ni moto. Tulipata leads 312 ndani ya wiki mbili."
"Walitengeneza website ambayo imeniletea mauzo kuliko nilivyowahi kupata."
Sisi ni Nani?
Nasa Wateja Online ni timu ya wataalamu wa digital marketing wenye uzoefu wa zaidi ya miaka kadhaa katika:
-
Uundaji wa mikakati ya mauzo
Tunatengeneza mipango inayofaa kwa biashara yako
-
Kufanya biashara zikue mtandaoni
Tunakuongoza hatua kwa hatua hadi ufikia malengo yako
-
Kuunganisha bidhaa na wateja wanaohitaji huduma
Tunafikia watu halisi wanaopendelea bidhaa zako
Tunachokiamini:
Biashara yako inastahili kuonekana. Wateja wako wapo mtandaoni — sisi tunakutana nao na kukuleta.
Maswali Yanayoulizwa Sana
Ukipoteza muda bila mkakati sahihi, unawapa washindani wako nafasi ya kuiba wateja wako.
Chukua hatua leo. Wateja wako wanasubiri.